twatwatwa
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 2,066
- 419
Hawa jamaa wa cloudstv wamezindua channel Yao kwenye dstv wanasema itapatikana Africa yote hii imekaaje wadau naona kama kuna kamchezo hapo maana channel zote za e.africa huwa azionekani s.a kazalika na za kwao azionekani kwetu wale wanaotumia beam ya sa naomba mtie neno hapa isije kuwa changa la Macho