DR.CYPRIAN
Senior Member
- Sep 3, 2013
- 152
- 68
Hi guys! N brand gan ya jiko la gesi ni bora zaidi??
Nn tofauti ya oryx na hiz Kampun nyinginezo? Lake... Manji.... Wana shida gan hawa?Oryx ndo kiboko
Chukua mtungi wa oryx na plate ya pigion