How to bypass icloud activation?

iFreak_os

Member
Jan 15, 2013
47
4
Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.

Swali langu ni ile simu ambayo imekuwa iCloud locked uki update kwa kutumia iTunes pale muda wa ku activate inagoma kuendelea mpaka utoea 'lock'

Kuna mtu aliyeafanikiwa ku bypass hiyo lock. (Kama ku hack)?
 
Ha ha ha sijaiba mwana...
Kama seriously haujaiba then mwambie aliyekupa akupe used password ili uweze i unlock icloud,na ndio maaana tumesena umeiiba pale unaposhindwa wasiliana na aliyeitumia mwishoni
 
Mi sim yangu tangu November Mwaka jana iPhone 5 imeibiwa hadi Leo sijapata, nahisi huyu alieniibia kaamua kutupa, roho unauma nyie wezi wa sim za wenzenu
 
iCloud isipate solution. wezi watatuua kwa presha. mahela yote hayo, halafu mwizi anajichulia kilaini? hapana. labda uuze spea.
 
Kama seriously haujaiba then mwambie aliyekupa akupe used password ili uweze i unlock icloud,na ndio maaana tumesena umeiiba pale unaposhindwa wasiliana na aliyeitumia mwishoni
Kuna mtu aliomba assistance ya ku restore nimefanya nimekuta hapo nikashindwa... Kama ni kopo kama mnavosema basi acha akakae nalo mwenyewe.
 
Kuna kesi huko Marekani ya Mtuhumiwa fulani FBI wameshindwa kuhack iPhone ya Mtuhumiwa ili kupata ushahidi wa SMS na Simu,Mahakama ikaamuru kampuni ya Apple watoe details za mteja wao Boss aw Apple akasema hata wao wenyewe hawawezi hadi Mtuhumiwa atoe password.
 
ukitaka uza kama spare mimi niweke kwenye list fanya kunipatia kamessage tuu tuongee
 
Na hii ndiyo sababu sitohama apple najua itakuwa yangu tu hata kama ichukuliwe

Maumivu ni yale yale tu acha maneno ya mkosaji, mtaani tunazitumia hizo hizo zenye I cloud zenu, name zinauzwa 40,000/= or 50,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom