kambonajr94
New Member
- Jan 23, 2016
- 3
- 0
- na2mia Nokia 1320 window phone.... Nna shda ya kuupdate hii vision ya window nashindwa wanapo npa option moja 2 ya ku2mia WI-FI na sio MOBILE DATA.nashindwa hapo msaada tafadhali kw mweny kufaham pls...
poa nmekuxoma ndg...tafuta simu nyengine unga bundle huko halafu jitengenezee wifi. bundle iwe kubwa kidogo zaidi ya 500mb