Smartfone aina ya vodafone

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,371
4,847
Habari wanajukwaa,
Kwa mda mrefu nimekuwa nikishuhudia Vodacom.Tanzania wakituuzia simu aina ya Vodafone za matoleo mbalimbali tena kwa bei ya karibu na bure kabisa kulingana na quality za simu husika .
Kutokana na hilo nimekua mmoja wapo wa Wateja wazuri wa hizi simu za Vodafone kwani zinakidhi mahitaji yangu ya msingi .Sasa bhasi najitokeza kwenu kuomba msaada kuhusiana na haya yafuatayo
1. Kwa hapa nchini kuna uwezekano wa kuwepo matoleo mengine ya Vodafone ukiachilia mbali hizi zinazouzwa na voda tu?
2.Kwa wale wataalamu wa ulimwengu huu wa teknolojia je ni kweli kwamba tunachokinunua kinaenda na uwiano halisi wa pesa tunayoitoa yaani hasa ubora wa bidhaa hiyo.
3 . Kampuni hii inayotengeneza simu za Vodafone has a ni kutoka nchi gani na je kila bidhaa ittokayo sokonihufika na huku Kwetu Tanzania
 
Back
Top Bottom