Wamiliki wa website na app wanalipwaje

6cent

Member
Dec 31, 2015
9
4
Ni swali ninalojiuliza maranyingi kama linavyojieleza apo juu. Ni kivip mods wanapata pesa na mmiliki kiujumla. Pia nakosa ufafanuzi jinsi waanzilishi wa Mobile application wanapataje faida mfano..Telegram, Tubidy, Shazam na nyinginezo.
Msaada wadau wenu utasaidia sana .
natanguliza shukrani
 
Kuna kitu kinaitwa influence, popularity na viewers/visitors.

ukiwa na app nzuri ama web nzuri unaongeza visitors na hvo kushawishi makampuni kujitangaza kupitia kwako. hapo utapata hela ya matangazo

ukiwa na web kali ama app kali basi jua makampuni yatakuja kwako ili uwatengenezee platform zao ambapo utapiga hela ya design na development.

kwa mmiliki wa kitu kama JF anakuwa na umaarufu, special treaties na hio tayari inampa access kwa mambo mengi kama kuonana na watu wakubwa na kupata deals nzuri kirahisi.

*ukiwa na web ama app popular sana, maana ake ni kwamba ww ni moja kati ya wengi ambao hufanya watu watumie internet zaidi hvo unakuwa unalipwa some percent na wenye kuimiliki internet maana unawaingizia hela kadri watu wanavoitumia.
NB: hii line yenye * ni assumption cna hakika sana. Ila uhakika uliopo ni kwamba taasisi kama hii ina host space kubwa sana ktk server kiasi kwamba na wao wanauza hosting space kwa watu baki.
 
Tena JF inabidi iongeze vyanzo vya mapato

Kwa mfano ukila "Ban" kurudishwa ni risiti ya malipo ya Sh 20,000/= ukalipie bank kabisa
 
yeah kwa kuongezea nafikiri jf wangekuja na products tofautitofauit kama jf mobiles jf smartphones jf automobiles etc.....since they are already a brand, they can do anything
 
Kweli mkuu inabidi watuuzie baadhi ya right tufanye hii biashara!
 
Kuna kitu kinaitwa influence, popularity na viewers/visitors.

ukiwa na app nzuri ama web nzuri unaongeza visitors na hvo kushawishi makampuni kujitangaza kupitia kwako. hapo utapata hela ya matangazo

ukiwa na web kali ama app kali basi jua makampuni yatakuja kwako ili uwatengenezee platform zao ambapo utapiga hela ya design na development.

kwa mmiliki wa kitu kama JF anakuwa na umaarufu, special treaties na hio tayari inampa access kwa mambo mengi kama kuonana na watu wakubwa na kupata deals nzuri kirahisi.

*ukiwa na web ama app popular sana, maana ake ni kwamba ww ni moja kati ya wengi ambao hufanya watu watumie internet zaidi hvo unakuwa unalipwa some percent na wenye kuimiliki internet maana unawaingizia hela kadri watu wanavoitumia.
NB: hii line yenye * ni assumption cna hakika sana. Ila uhakika uliopo ni kwamba taasisi kama hii ina host space kubwa sana ktk server kiasi kwamba na wao wanauza hosting space kwa watu baki.
Ima maana kama huna viewers then no malipo kwa wamiliki wa apps and websites?
 
Ndio ilivyo na ndio unakuta kitu hata google search engine haiwezi kukipick katika first pick hadi uscroll btw pages kibao. Na kama ni app unakuta ndio zile ambazo kwa kuwa app hosting ni free basi zinawekwa matangazo kibao ili ku~compesate the free space unayomaliza bure na lastly ww kama developer utaikacha tuu maana haitakupa muzuka wa kui~ mantain.

no viewers means not beneficial and just junk
 
meelew hpo....fundichupi...
 
Back
Top Bottom