appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,909
- 3,218
wanajf kuna upepo wa application inayovuma kwa kas kua ina uwezo wa kuksmata mawasiliano ya mpenz wako
je kuna ukweli kwa wake mlioitumia maana ukiwa katika hatua za kuipakua unaombwa pesa je kuna yoyote imemsaidia na hakuna kelele za utapel maana kuna malalamiko ya chinichin kua ni matapeli na jana nimeona halima mdee kaitangaza