msukuma01
Member
- Jan 4, 2016
- 37
- 9
Jamani nimekuja kwenye jukwaa kuomba msaada, nimetafuta maduka meng nimekosa. Natafuta wireless keyboard kwa ajili ya ya ipad air. Natafuta aina ya Belkin, ambayo ni km cover pia na keyboard. Nimeambatanisha na picha pia. Mwenye njia yoyote ya kunisaidia kuipata nitashukuru