Overwhole service, Toyota IST

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,698
Wakuu nataka kujuj estimates za kufanya service hiyo, nipo Dar, kwa wenye uzoefu please nisaidieni estimate za gharama.
 
Overwhole ina maana imekufa engen au unachotaka ni servise tu

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada rudi uweke ufafanuzi sawia kile unachoomanisha ni unataka kufanya Overhaul ama ni service kwa ujumla...Kubadili filters kumwaga oil na kadhalika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom