Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu nataka kununua hii simu jamaa katoka nayo South Africa hivi karibuni nimetoa betry imeandikwa made by Sumsung badala ya kutaja viwanda ya SAMSUNG vya Korea, Vietnam na China. sasa najiuliza inaweza kuwa Clone? Model yake ni SAMSUNG S5 SM-G900H na Android 4.4.2 (Kitkat) naomba mwenye Uelewa wa hii simu tafadhari pia nimeona na ni nyepesi betry yake ni ndefu 2800Amh.