Tatizo la USSD code kwenye LG g2 Korean Version

mi_mdau

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,171
Reaction score
1,763
Habari wadau,

Kwa yoyote mwenye ujuzi wa simu hasa zile zilizotumika China, nyingi zinakuwa na tatizo la kutoweza kupiga ussd codes kama za mihamala ya simu, au ya benki mfano *150*60#.

Kucheki salio la kawaida haina shida. Kuna simu iliagizwa huko na mtu inamsumbua hizo USSD codes. Tayari iko rooted na ina custom rom, sasa sina uhakika kama ukiiflash official firmware au na baseband nyingine itaweza kurudi sawa.

Simu ni LG G2 version ya korea au kwa jina jingine ni LG G2 F320
 
Angalizo
G2 ikiwa rooted ukiflash tu stock rom lazima utabrick tu..

Anza ku unroot kwanza ndo uweke stock rom
 
Back
Top Bottom