Hehehe mkuu unataka umuue huyu jamaa kumwambia asome OpenGL, ndio kwanza yupo anajifunza for-loops.Learn graphics libraries like OpenGL
Kwenye attachment hapo ni c++ language nimeiandika na nimeirun ikanipa ilo umbo ninachojiuliza nataka kuiandika inipe umbo la pembetatu sawa nifanyeje ?
Naona upo kwenye intimidation mood!kuwa programmer ni kipaji na unahitaji uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kureason, vile vile uwe na IQ kubwa..
hongera sana kiongozi.Hilo swali nia yake ni kukufundisha wewe loops, maswali ya hivi sanasana yanatumika kufundisha hasa for-loops. Jinsi ya kuyasolve ni rahisi tu, unachohitaji kujua ni logic yake, ukiwa na loops mbili mfano:
for(int i=0; i<max; i++){
for(int j=0; j<max; j++){
}
}
Hizo loops zinaitwa nested-for-loops, hapo loop ya juu yenye variable 'i' ina-act kama row, alafu loop ya ndani ina-act kama column,
ndani hata ukiweka for loops mia, zote zita-act kama columns, ile ya juu peke yake ndio ita-act kama row.
Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kutafuta logic yako, kwanza fungua labda notepad, jaribu kuandika rough kama hivi
X : Column na Y: Rows
Mchoro Nyota Space kabla ya nyota
* 1 3
*** 3 2
***** 5 1
******* 7 0
Mchoro kama huo utakusaidia kutengeneza equation, kama hapo unaweza ona kabisa kua for-loop ya nyota itakua inaanzia max_rows - current_row - 1 na kuishia zero,
na for-loop ya stars itakua inaanzia moja na kuishia (2 * current_row) - 1
Kitu kama hiki hapa chini, em jaribu kuelewa vizuri, hapo nilipokuachia uprint pachika wewe "cout" yako kama nilivyoelekeza then run...
int max = 10; //Hapa assuming unataka rows ziwe 10
for(int i=0; i<max; i++){ //Loop ya rows
for(int j=0; j<(max- i - 1); j++){
//Print empty spaces
}
for(int j=0; j<(2 * i) - 1; j++){
//Print stars
}
//Print new line
}
Naona upo kwenye intimidation mood!
Aah wapi kujituma na kusoma vitabu kwa wingi hiko ndicho kitakachokufanya uwe vizuri kwenye programming aya mambo sijui IQ kubwa wala hakuna lolote.kuwa programmer ni kipaji na unahitaji uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kureason, vile vile uwe na IQ kubwa..
jibu la nullpointer ukilielewa unaweza kuproduzi umbo lolote unalolitaka.
Aah wapi kujituma na kusoma vitabu kwa wingi hiko ndicho kitakachokufanya uwe vizuri kwenye programming aya mambo sijui IQ kubwa wala hakuna lolote.
Of course kusoma vitabu kutapanua mwanga.. Lakini cha muhimu ni:: PRACTICE MAZOEZI PRACTICE MAZOEZI..Aah wapi kujituma na kusoma vitabu kwa wingi hiko ndicho kitakachokufanya uwe vizuri kwenye programming aya mambo sijui IQ kubwa wala hakuna lolote.
Yup!umewah soma mazengo high school?
kuna jamaa akat nipo mazengo olevel alikuwa anaitwa steven mtangoo ni wewe?
Yup!
Nope! Sijasoma Iyunga ... nimesoma UDOM Original kabla ya UDOM ya Chimwaga!wee lijamaa nishakukumbuka tumemaliza wote iyunga... enzi za ndudi.
Nope! Sijasoma Iyunga ... nimesoma UDOM Original kabla ya UDOM ya Chimwaga!