Mitandao ya Kijamii: Ni kweli waweza pata pesa kwa njia ya website na blogs?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Jamii 1.
Ni kweli au ndo habari za mitandao na utapeli Nina maana afazali ya utapeli sasa huu upateli.
Je ni kweli waweza pata pesa kupitia blogs, websites nakadhalika.Kupata pesa au mkwanjika?
Kama kweli wafanyaje?
The specialists come back and contribute this'd.
Thak yo!
No one z pafekti!
 
ndio ni kweli kwamba blogs na webistes zinalipa,endapo utakuwa na matangazo amabayo utakuwa uliyaonyesha ktk blog yako!
hakuna uatapeli hapo kikubwa ni kuwa commited na blog yako!
 
Pita na hapa pia
https://jamii.app/JFUserGuide.com Earn 5$ - 10$ for every 10 seconds tasks, Earn Fix 5000$ Weekly Guaranteed

Sent from mTalk
 
Napata sms nyingi kweli zenye hyo links bahati mbaya sijawahi sikia wala kuona amabye ameshalipwa na hiyo kitu

Sent from mTalk
 
Back
Top Bottom