Jifunze kutengeneza android applications | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze kutengeneza android applications

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Firefox, Apr 29, 2012.

 1. Firefox

  Firefox Senior Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Ni rahisi kujifunza kutengeneza applications za android.

  Ikiwa utaweka nia na ku-dedicate muda wako kujifunza na kufikiri ni applications gani waweza tengeneza na kufanikisha.

  Waweza jikuta unauaga umasikini bila kutarajia, kwani wapo vijana wengi sana ambao wanaingiza maelfu ya dola za kimarekani kwa kutumia application za android walizoziweka kwenye google play (zamani market).

  Blogu hii itakuwezesha kufahamu jinsi ya kuandaa mazingira ya kutengeneza programu za android na pia kutengeneza programu yako ya kwanza, mara nyingi tukiifahamu kwa jina la Hello World.

  [HR][/HR]At the end of these tutorials you will be able to Prepare environment for developing android applications, and also you will be able to create the simple program which will output "Hello World".

  The tutorial sections:
  [HR][/HR]
  Kwa elimu zaidi fuata linki:

  ANDROID HELLO WORLD

  :bounce::bounce::bounce::bounce:
   
 2. Khalid Humud

  Khalid Humud Member

  #2
  Feb 8, 2016
  Joined: Feb 3, 2016
  Messages: 18
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  mbona haipatikano hiyo blog
   
 3. c

  computerkiddy JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2016
  Joined: Oct 1, 2015
  Messages: 345
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 80
  blog ya kawaida inayotumia simple html inakuwa magumashi......je utaweza kutufundisha tuweze kumaster java,na html5?
   
Loading...