Chuo cha kizuri cha IT Arusha

Khalid Humud

Member
Feb 3, 2016
18
3
habari ndugu zangu wa jukwaa hili naomba msaada natamani kusoma maswala ya IT nipo arusha msaada wa chuo kizuri hapa Arusha na ada yao.
 
Kila chuo ni kizuri kama umejiandaa kuelewa unachofundishwa.. chuo kinaweza kikawa kizuri kama peponi ila wewe ukawa hujajiandaa kuelewa
 
Kiko Kijenge,,,,Opposite Impala kuna Quoters za Aicc ukifika hapo kuna vibao vinaelekeza
 
Back
Top Bottom