APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
1,015
2,191
Wakuu,

Zipo taarifa kuhusu App ya Facebook kwenye hizi smartphone zetu kufyonza chaji kupita kiasi wakati wa matumizi.. Tafiti za wanateknolojia zinaonyesha kwamba App hii ikifutwa huongeza uhai wa chaji kwa zaidi ya asilimia 20.

Inashauriwa kutumia Browsers (haswa Chrome) badala ya APP ya mtandao wa Facebook kama mtu anahitaji kuwa na a longer battery life..

3436.jpg

=====================

Uninstalling Facebook app saves up to 20% of Android battery life

Facebook does not have the greatest track record with its Android app. Users have long complained about performance issues and it sucking up battery and last year Facebook’s chief product officer, Chris Cox, took the unusual step of making his staff ditch their iPhones and move to Android until they sorted out the issues.

But the problems have remained, and recently they led the Android blogger Russell Holly to dump the app, starting a chain reaction which revealed something rather interesting about the app’s performance. Prompted by Holly’s revelation that life on Android was better without Facebook’s app, Reddit user pbrandes_eth tested the app’s impact on the performance of an LG G4.

They found that when the Facebook and Facebook Messenger apps were uninstalled, other apps on the smartphone launched 15% faster. They tested 15 separate apps, and documented the findings, leading other reddit users to test other devices. They found similar results when testing for app loading performance.

After reading Holly’s piece, I had also decided to explore other options for accessing Facebook, to see if, rather than app loading, I could improve my smartphone’s battery life.

I left the Facebook Messenger app installed, but swapped the Facebook app for an app called Metal, which acts as a wrapper for Facebook’s mobile site. Over the course of a day my Huawei Nexus 6P had 20% more battery. This was true on average for every day for the week tried.

In Metal I was using the same notifications and accessing the same features as I had just a week earlier through the Facebook app, so why the difference?

Despite the Facebook app not showing up as using a significant amount of power within Android’s built-in battery statistics, it was evidently consuming more power in the background than it needed to.

Source: The Guardian
 
tumia facebook lite.

na sio kwamba inakula chaji tu, inachukua space kubwa na kula ram nyingi.

na fb ni afadhali app za kijinga kama anti virus mbali mbali, clean master, du battery booster, 360 security, na zifananiazo zinakula zaidi charge
 
ofcoz hii app licha kula chaji pia inafanya cm inakua slow sana na ndugu yake insta...
 
Ila ukitumia hizi simu latest high end huwezi notice kitu
kwa app moja sawa ila muungano wa intagram+fb+fb messenger+google bloat hapo ujue kama 1gb ram itaisha. then system inaweza chukua hadi 512mb ram.

nimewahi ona flagship za samsung out of box 1gb ram inatumika.

labda uwe na 4gb ram ndio utakaa bila mawazo lakini hata 3gb inaweza kujazwa na wadau hapo juu pamoja na system. cheki hii scrnsht ya fb na messenger

3_4.png
 
Natumia s6 edge zamani kwenye simu zingine ilikua inabidi tu kutoa fb na hizo insta mana simu ilikua ina stak sana ila kwenye hii simu nyepesi kama vile sijaweka chochote mana nina fb+messenger+insta na insta nimeweka 2
 
Pia yahoo mail inakula space kubwa sana. Mie nikiamua kuitoa. Total size ilifikia around 900mb. Sasa ukiwa na app kama tana hivi simu isha jaa. Simu mpaka inaweweseka. Ikawa inawaka malakidogo tu imestack mala inajirestart yenyewe. Lakin baada ya kuitoa maisha sasa hivi ni mtelezo
 
tatizo la watu wengi hata km ana simu yenye uwezo mkubwa yeye Kwanza anawka APPS nyingi zisizokuwa na tija wa umuhimu kwake araf anafungua hii anaacha anafungua hii anaacha mwishowe task zinakuwa nyingi sana zinakula chaji na ram na kama utakuta zipo AUTOSYNC basi ni shida zaidi mpk simu inakuwa ya moto

mimi natumia
DU BATERY SAVER kiboko ya ku OPTMIZED RUNNING APPS
COOLING CPU nk
ukiwa na hiyo inasaidia kidogo
 
Hii post inawahusu watu wa I.O.S pia? Sijawah notice the difference hata ram au rom yake siijui☹️
 
tatizo la watu wengi hata km ana simu yenye uwezo mkubwa yeye Kwanza anawka APPS nyingi zisizokuwa na tija wa umuhimu kwake araf anafungua hii anaacha anafungua hii anaacha mwishowe task zinakuwa nyingi sana zinakula chaji na ram na kama utakuta zipo AUTOSYNC basi ni shida zaidi mpk simu inakuwa ya moto

mimi natumia
DU BATERY SAVER kiboko ya ku OPTMIZED RUNNING APPS
COOLING CPU nk
ukiwa na hiyo inasaidia kidogo

hizzo app zinakupa tu illusion ila kiukweli ni majanga. hebu fikiria hivi.
1.App inajirate yenyewe playstore bila idhini yako na kujipa score ya 5/5 (100%) kama huamini ingia sasa hivi store then cheki ratings za du battery booster or du whatever hapo tayari inaifanya hii app kuwa malware (kirusi)

2. unaipa ruhusa ya device administrator (nenda setting then security then device administrator) na administrator ana power ya kunchungulia kila mtu so data zako zikiibiwa usimlaumu mtu.

tuje sababu za kitaalamu kwanini hizi app za kuboost sijui battery au perfomance hazifai

1. zinaclean RAM
kwa android hiki kitu ni useless sababu ukifunga app za ram zinajifungua tena hapo hapo hivyo process inajirudia rudia app inajifungua du anafunga hii process ikijirudia simu inafanya kazi sana na kula battery na kupunguza perfomance

2. ina clear cache
cache are meant kufanya apps ziwe faster sababu zile most used files zinaekwa huko ili zisiload kila mara unapoclear cache unafanya app iwe slow sababu itaanza kuload upya

na proof ya hapo juu kila ukiscan unakuta du au clean master inapata junk files za kufuta sasa jiulize why haziishi hizo junk file? jibu ni simple clean master/du akifunga zenyewe zinajifungua.

ushauri wangu zitoeni hizi app kwenye simu zenu zinakula sana charge na kufanya simu ziwe slow.

tumia app kama es file explorer ni file manager itasaidia kutoa unnecessary files bila kuingilia mambo ya apps nyengine
 
nimekupata vizuri sana ila hayo yapo kwenye DU BOOSTER

lkn Kwenye hii DU BATTERY hipo tofauti sana na hayo unayoeleza yaan hii ni kwa Battery tu na wengi niliwashauri kitumia hii wamekubari inasaidia kuipa simu batter nguvu zaidi
nipo natumia tngu 2014

jaribu kuiweka araf ichunguze utagundua ipo tofauti sana

ni DU BATTERY SAVER

usije ukachukua DU BATTER BOOSTER au DU BATTREY SAVER AND ANTVIRUS hizo zitakuzingua zitaifanya kwanza sinu yako kuwa slow sana na mengne mengne ya kuudhi
 
mule mule tu inasave vipi battery?
 
Back
Top Bottom