wadau habari zenu,
Nina kiblog changu kina adsense na nimeset trick moja hivi ya kuniongezea mpunga na kinaongeza haswaa, swali langu hivi click halali zinaangaliwa kwa siku au kila baada ya...
Habari zenu wadau, nimeleta uzi huu maalum kwa wale wataalam wa kutengeneza android applications na pia kwa wanaotaka kujifunza kwani kwa ulimwengu wa sasa dunia imehamia katika viganja vyetu...
Habari ndugu wana Jf poleni na majukumu ya kila siku kuna jamaa anataka kuniuzia iphone 4 kwa sh 170,000 ila ina tatizo la kufungwa laini inatumia laini za at& je inawezekana kuifanya simu...
Habari zenu wana jamvi msg hiyo hapo juu imekuwa ikitokea mara kwa mara kwenye simu yangu naombeni ambaye anauwezo wa kunielekeza namna ya kuitoa anielekeze natanguliza shukrani.
Watumiaji wa simu za iPhone 6 (walio pakua iOS mpya) ambao walitengeneza simu zao kupitia mafundi ambao hawajaandikishwa na Apple wamepatwa na hali ya sintofahamu baada ya simu zao kufungiwa baada...
nikitaka kupiga picha inaleta message there is not enough available storage.nimefuta vtu vyote bado inagoma nmeenda kwenye setting ku erase all content and setting inassema passcode failed naomben...
Wakuu kuna hii simu ya Startimes imekuwa ikitangazwa sana na vyombo vya habari japo bado sijaiona. Ningependa kujua ambaye ameitumia Startimes Faith 1 aniambie ubora wake na kama ina NFC!
Ama kweli Vodacom Tanzania ni wanyonyaji sana, baada ya kuwaibia sana watanzania kwa kuwapa dakika ambazo ukiongea hata sekunde 5 zinakata dakika nzima na wananchi kulalamika sana walirekebisha...
PC yangu (Toshiba) nilikuwa nacheki movie huku nimeiweka kwenye godoro kwa muda mrefu, ghafla ikazima.
Nikiwasha inatoa signal kama imewaka lakini kioo hakionyezi kitu chochote na taa ya chaji...
Habari wakuu. Kama heading inavojieleza, ninatumiw Samsung Galaxy J1 kila nikitumia instagram kwa muda kama dakika 15 app inajitoa yenyewe kama vile nimequit. Msaada please
Habari wakuu pole ni na majukumu .
Nimekuwa nikijuiliza kuhusu hili ila nimeshindwa kupata majibu hivyo naliwasilisha kwenu kupata ufafanuzi.
Kumekuwa na receiver mbalimbali ambazo zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.