Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau najua wengine mnafahamu haka kautundu, ila kwa faida ya wasiokajua.Naomba nielekezwe jinsi ya kulogon kwenye administrator account bila kuwa na password yake.Ni kama ifuatavyo 1.Fungua...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
UPDATE Wadau vitu vizuri ule na wenzio. Katika pita pita zangu nimekutana na hii trick inayosaidia kuifanya Fire fox kuwa nyepesi hivyo si vibaya kushare na wengine. Mchezo wenyewe upo hivi:-...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu!! Sijakosea kichwa cha TOPIC. ni kweli kabisa. Si kila computer unayokaa tu anaazatu kuinstall masoftware...tena micomputer mingine hadi uwe Administrator ahaaa hasa wengine mfano...
5 Reactions
32 Replies
14K Views
Huwezi kutumia internet kwa matumizi ya kawaida bila kutumia Web browser. Hii ni interface inayotuwezesha kufungua blog, websites na progams nyingine za Internet. Kuna aina sita za Web...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Je una Laptop na smart phone? Na je ina internet bundle? Na je unahitaji kutumia internet kwenye komputer yako? Kama majibu ni ndio, basi unauweza kutumia simu yako kupata ama kutumia internet...
5 Reactions
44 Replies
16K Views
Nina uhakika kila mtu anapenda njia za mkato na mbinu mbalimbali wakati anapokua anatumia kompyuta yake. Sasa basi zifuatazo ndio njia na mbinu mbalimbali unazoweza tumia ukiwa katika mtandao kwa...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Niaje wakuu leo tutazungumzia hili swala, wengine wanaweza sema LOL! mbona nisha activate win8 yangu zamani kabisa.. well you thought wrong.. Kwanza ilitoka activator ya kwanza na I think ni...
6 Reactions
122 Replies
20K Views
Waheshimiwa hamna haja tena ya kutumia Patch for cracking IDM au kutumia version ya zamani na kuogopa kuupdate coz of ukiwasha pc itakudai keys upya kwa wale wasioijua Internet Download...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Ngoja tuendelee kuona sehemu ya pili ya maujanja kama nilivyopromic,najua itawasaidia some members humu jamvini. Tuanze sasa!! 1.NOTEPAD Wale wapenzi wa kutumia notepad kuandika baadhi ya...
12 Reactions
33 Replies
5K Views
wadau naomba msaada kwenu,simu yangu aina ya lumia 640 ilitaka ni update whatsapp, nilijaribu ku update ikataka niwe na Wi fi, nikajaribu kutoa version iliyokuwepo ili nidownload upya lakini bado...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kuuliza. Nina TV ( frat screen ) inayotumia umeme wa DC . Swali langu ni je ninaweza kuconect playstation kisha nikacheza game??? na je kuconect Deck ya DVD?. NB: TV...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hili nimeuliza mara kadhaa kwa lengo pia la kusaidiana wote. mfano nina dish la dstv lakini sina pesa ya kulipia hata ile bundle yao ya bei ya chini kabisa kutokana na ukata. je haman namna ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, nimetembea tembea baadhi ya mitandao ila kwa kweli kwa hii speed ya Vodacom kwa sasa inanifanya nisite kuhamia mtandao mwingine kwa maana natumia hotspot ya simu yangu kuaccess kwenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nimekuwa niki experience jambo hili kila mara hasa inapofika weekend tv hizi zimekuwa wakati mwingine hazipatikani mpaka jumatatu au wakati mwingne zinachukua muda mwingi kidogo. antenna inakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiwaza jambo hili kwa kina. Kutokana na kuwa na uwezo mdogo kiuchumi sometime watu wamekuwa wakiwaza namna gani ya kurahisisha maisha. na hapa nikapata wazo kwa kuwa najua humu ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nilikua napiga pc yangu window ikianza kuinstall ikifika asilimia 81% inaganda haisogei naomben msaada wadau shajaribu mara nyingi ila ikifika hapo inagoma
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Free Vodafone v785 Unlock Codes !!!!! Natoa 10 free codes za Vodafone V785. Yaani watu 10 wa mwanzo watapata free codes. Tuma IMEI NUMBER ZAKO UTAPATA FREE CODES kwa wale wa Huawei Y330 na Y530...
2 Reactions
147 Replies
31K Views
Habar zenu waheshimiwa samahan naomba mnisaidie jinsi ya kirudisha original imei ya simu yangu mara nyingi nimekuwa nikibadilisha badilisha kutokana na baadh ya vitu navofanya lakin nasahau...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani wadau nauliza jinsi ya kufungua google play store account. Naombeni ushauri wenu Ahsanteni.
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Wakuu je graphics card zenye heatsink ni nzuri kuliko zenye fan
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom