Kisimbusi changu cha Qsat q15 g kinashindwa kuunga (link). Inatoa ujumbe huu. "No Dongle Device"
Nimeki update hivi karibuni. Muda mrefu nilikuwa sikitumii.
Shida ni nini na inatatulikaje?
Nimekaa hapa naumiza kichwa wadau nikijiuliza ni bank gani nzuri ambayo itanisruhusu kufanya online transactions kwa gharama ndogo, wajuzi wa online banking naombeni mnsisaidie...
Wakuu habari,nimejaribu kutengeneza php reg form, pia niwetengeneza database yenye table na field zote kama
nilizo create ktk forms. sasa nashindwa kutengeneza connection ili mtu akishajaza ile...
Comodo Dragon 30.0.0.0 | 38.64 MB
Comodo Dragon fast and versatile Internet Browser based on Chromium, infused with Comodos unparalleled level of Security! The Comodo Dragon has taken the...
Kwa mwenye kujua wakuu naomba anisaidie kama kuna chuo au sehemu yyt Dar inayotoa mafunzo ya computer language programming tuu Kama ni C# Java Python PhP etc
Note: najua kuna tutorials YouTube...
Tecno yangu ni ya promotion, kitu ambacho ni tatizo kwangu ni kuwa line ya 2 haiwezeshi 3g. Pia Nauliza nawezaje kuifanya line ambayo si ya tigo iwe inakubali kuwa ya kwanza???
habari za majukumu,
tafadhalini mwenye uzoefu na cost za network cable installation na system nzima ikiwemo wall socket etc.
room 5, computer 7 room moja na room zingine computer moja moja.
hapa...
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
Habari za humu wakuu....
Nina Laptop yangu inatakiribani siku 4 , nikiwa nafanya kazi ina stack ña kuleta ujumbe Wa "' YOUR COMPUTER MEMORY IS LOW, RESTART TO CONTINUE "...... na blaa blaa...
Habari za kwenu wadau ! natafuta display za samsung s3 GT-i9300 rangi ya Pebble blue , samsung galaxy s2 GT-i9100 rangi nyeupe na galax s2 GT-i9105 za bei rahisi .nipo Arusha
jaman nilikuwa nahitaji wataalamu wenzangu ili tuwe tunajadiliana kuhusu jinsi ya urekebishaji amplifier, inverter, converter, sub woofer. Mimi na uwezo wa kuviunda hivyo vyote sasa nilikuwa...
Kwanza heshima kwenu wana JF,
Mwenzenu nahitaji kujua, nimejenga nyumba mpaka sasa imefikia hatua ya kupiga linta. Nilichotaka nijue hapo kwenye linta fundi kaniambia inatakiwa nondo zitembe nne...
ndugu zangu wanajamvi, leo nimekutana amplifier ambayo iliundwa na mzee fulani mtaalamu sana wa haya mambo hapa iringa mjini, yan nimeshangaa kuona ametumia transistor BU508A NPN transistor...
Kama nilivyoeleza hapo juu nikama wiki tatu zilizopita walinitumia barua kwa DHL ikitoka katika oficce yao ya kenya kuwa natumia software ambayo siyo genuine na haiko lincesed wakaendelea zaidi na...
Here is the real deal after waiting for some times here is a change we have been waiting.
Not so much but to bring the old memory card slot does the job for most of us who love to have our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.