Naombeni Ushauri Wenu

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu wana Jf poleni na majukumu ya kila siku kuna jamaa anataka kuniuzia iphone 4 kwa sh 170,000 ila ina tatizo la kufungwa laini inatumia laini za at&amp je inawezekana kuifanya simu hiyo itumie laini za nyumbani na itanigharimu sh ngapi?
Thanks in advance
 
iphone 4 nafkiri unaweza kui unlock na gevey sim. zinauzwa around 25,000 huku bongo. ila naona ni risk na itapandisha bei hadi 200,000 wakati kwa bei hio unawEza pata unlocked
 
Back
Top Bottom