Mkuu hizi Faith 1 hawaweki bei. ndo maana nikauliza. duka lao la Arusha hawajui kama hata kuna hiyo simu. Hebu wa Dar ulizieni bhasi.Wanatangaza inauzwa sh.ngp coz nimeigoogle nmeona iko vzr
Sasa umejuaje kama unaimudu bei yake wakati huji inauzwa shilingi ngapi?Mkuu hizi Faith 1 hawaweki bei. ndo maana nikauliza. duka lao la Arusha hawajui kama hata kuna hiyo simu. Hebu wa Dar ulizieni bhasi.
Kuhusu Ubora mie pia nina mashaka nao lakini kibei sasa ndo saizi yangu nifanyeje maana hamna namna.
Mkuu ninatumia Startimes Solar 5 Kwa sasa na inashabihiana vigezo na mojawapo ya smartphone zilizokuwepo mjini enzi hizo. Ila Solar 5 ilikuwa bei chee ukilinganisha na nyingine. ndo maana nadhani pia Faith 1 itakuwa bei chee.Sasa umejuaje kama unaimudu bei yake wakati huji inauzwa shilingi ngapi?