Sobangeja JF-Expert Member Apr 10, 2011 401 354 Feb 25, 2016 #1 Wataalamu wa jamiiforums naomba msaada wenu simu yangu aina ya TECNO H7 imegoma kufungua video kwenye WhatsApp
Wataalamu wa jamiiforums naomba msaada wenu simu yangu aina ya TECNO H7 imegoma kufungua video kwenye WhatsApp
baruti170 JF-Expert Member Jun 24, 2014 553 390 Feb 25, 2016 #2 Siyo hiyo tu kuna nyingine huku inafungua video ina chenga chenga.tena za rangi tofauti tofauti
Sobangeja JF-Expert Member Apr 10, 2011 401 354 Feb 25, 2016 Thread starter #3 Bora hiyo! Yangu haigungui kabisa!
utakuja JF-Expert Member Sep 20, 2010 1,027 880 Feb 25, 2016 #4 Umejaribu kudownload Vlc media player?