Tukutane hapa Android application developers

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Habari zenu wadau, nimeleta uzi huu maalum kwa wale wataalam wa kutengeneza android applications na pia kwa wanaotaka kujifunza kwani kwa ulimwengu wa sasa dunia imehamia katika viganja vyetu.

Tunaweza kufanya ubunifu zaidi ya WhatsApp na kadhalika.

Pia ningefurahi kama tutakutana hapa kwa ajili yakufanya projects mbalimbali za android.

Nawasilisha
Android App Developer
 
Mkuu nimependa sana hii!

Unajua jana nilikuwa kwenye website ya Forbes Magazine nikaangalia ten youngest billionaires wawili wa juu kabisa ni app developers ....sasa hivi hii kitu inashika kasi sana ni bonge la idea, wenzetu wamarekani wanawapa support sana watu wao kwa kuzipigia debe sana product zao kwani wanaingiza pesa kibao kwa app hizo....

Kuna mmoja alitutangazia humu kuhusu app yake ya ligi kuu ya bongo, nikamsupport kwa download lkn kila nikifungua haionyeshi chochote zaidi ya skin ya app......USHAURI WANGU KWAKO NA WENZAKO MUZAME SANA MKIIBUKA MULETE KITU MUAAFAKA AMBACHO KILA MTU ATATAKA AWE NACHO NYIE IWE KAZI YENU NI KUUPDATE TU.....IKIWEZEKANA MUWE NA VERSION 2 MOJA KWA ENGLISH (KIMATAIFA) PILI KISWAHILI (KWA WALE WASIOFAHAMU KIINGELEZA KWA AJILI YA SOKO LA WASWAHILI....

KILA LA HERI... NASUBIRI HIZO APP
 
mkuu naomba unielekeze kidogo, natafuta kwenye play store siipati nielekeze jinsi ya kutumia hiyo link
 
ethicx Niambie mkuu, issue vp
Mm ni developer lakini ni software developer wa computer applications , web applications na websites kwa platform na framework mbalimbali.

Ila nina interest kubwa sana katika android development.
Nimeanza kujifunza taratibu and i think idea yako ni nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nataka kujifunza kutengeneza android app for now nasoma online Pia nime download some app for android developer
 
Hata mimi nataka kujifunza kutengeneza android app for now nasoma online Pia nime download some app for android developer

I encourage U.Sio ngumu kivile kama ukiwa na nia.Usikate tamaa,nenda nayo taratibu tu utashtukia ushakuwa expert
 
  • Thanks
Reactions: GTA
Ni sha develop one app but nilikuwa nataka kupata best software ya kutegeneza offline zen na publish online but mimi nimejalibu online ku create app.
 
Me nielezeeni kuhusu crypted na incrypted SMS ndo zikoje na tofauti yake n nn
 
Back
Top Bottom