Graphics Cards

inategemea na hio technology ila vitu vinavyotumia heatsink bila feni (passive cooling) mara nyingi hutumia umeme mdogo na hutoa joto kidogo na hata perfomance inakuwa ndogo.

vitu vinavyotumia feni au liquid cooling hutoa joto kubwa na perfomance kubwa na hata thermal design inakuwa kubwa.

ila kunaweza kuwa na situation gpu ikawa ni ya kizamani enzi za ddr3 au nyuma zaidi inaweza tumia feni na kula umeme wa kutosha na still ukapata perfomance ndogo na ikapitwa na yenye heatsink tupu.

ila pia ukumbuke gpu yenye feni pia inaweza kuwa na heatsink.
 
Sorry kwa kuvamia uzi. Kaka fan ya pc kurotate kwa spidi na kutoa mlio na pia pc kustack ni tatzo gan? Je naweza kulitatua au nitafute pc nyingine?. Currently nna hp elitebook 6930p na kitambo nlikua nacheza pes 13 vizur tu but now tatzo ni hyo fan na kustack sina raha. Msaada plz. Natanguliza shukran
 
unapofanya task inayotumia sana processor ujue hio processor itapata sana joto na feni litazunguka kwa nguvu ili lipoze.

ikitokea processor still inapata joto na kula umeme mwingi huku feni limeshindwa kupoza kutatokea kitu kinaitwa throttling ile processor itapunguza perfomance ili isipate zaidi joto na hapo ndio utaona kama ni game au software yako inaanza kustack.

mfano processor kama ikirun 2ghz iki throttle basi inaweza shuka hadi 1.5ghz hivyo kupoteza takriban 25% ya perfomance.

kwa ushauri kama unataka perfomance nzuri achana nayo hio pc iuze halafu ongezea hela tafuta pc za haswell m processor kama hizi

i3-3100m
i3-3110m
i5-4200m
i5-4300m
i7-4600m

utapata gpu nzuri na pia ni ngumu kuthrottle hivyo utapata perfomance nzuri
 
Thanx bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom