Msaada, valid click katik google adsense

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
wadau habari zenu,

Nina kiblog changu kina adsense na nimeset trick moja hivi ya kuniongezea mpunga na kinaongeza haswaa, swali langu hivi click halali zinaangaliwa kwa siku au kila baada ya mwezi kuishi ndo unapewa zilizo halali?? maana mimi naingizi dolla 150-220 per day kwa views kama 500-700 kwa day pia ila tatget yangu kwa visitors ni nje sana hasa USA, CANADA, NEWZEALAND, SINGAPORE, UNITED KINGDON, FALME ZA KIARABU, Na nchi nyingine zenye kiwango kikubwa cha pesa per click kuanzia 0.26,

Naombeni kujua ilo wakuu
 
Mwenyewe najiuliza..kama unatumia tricks, na kuingiza dola za maana kwa siku..je watakushika kiurahisi?
 
ndo naomba kujua kutoka kwenu maana hii trick nimeianza mwezi huu, na mpaka sasa nina dollar 1490 ivi, miezi ya nyuma mara kwa mara nilikuwa napata dollar 150-250 kwa mwezi
 
ila ngoja nijipe tu mahope maana kama zingekuwa invalid zisingekuwa zinajumlishwa kila siku inavyoisha
 
IPO siku utaamka utashangaa unakuta account yako wameifunga mm ilishanitokeaga hyo tena nikiwa na pesa nyingi sana Google hawataki invalid clicks na wakizigundua tu basi wanaiblock account yako na hawaifungui tena
 
dah! mkuu Natron Ltd ngoja nisikilizie kwanza wanilipe hizo ndo niendelee baada ya kupokea
 
Siku ukiliwa ban na google utashika adabu yako na itakua too late.
Google wana kitu kinaitwa lifetime ban, yaani wewe ndio unapigwa ban kutumia google services, wewe sio account yako, ukisema unaregister kwa kutumia account mpya ikitokea any link between you and your last account hata credit card number, phone number au any information tayari computer zao zinajua wanapiga ban na hizo account mpya utakazokua umefungua. Ban ya google ya lifetime ni noma, hutoweza kutumia products zao zozote zile za development, kuanzia adsense, admob, google maps, youtube api, google wallet e.t.c, yaani ecosystem nzima, siku hiyo ndio utakuja kujua umuhimu wa google.

Achana na wizi, na hizi tricks unazotumia najua zitakua za kuwa-clikisha watu matangazo kwa kutumia javascript kitu ambacho ni cha kipumbavu, watu kama wewe ndio sababu hua naweka adblock, google watakushika tu, omba tu wasije kukupa lifetime ban maana itakulazimu utafute ecocystem nyingine na we all know google ndo wamedominate web au uachane kabisa na online business.
 
Mkuu aisee umenifungukia ndg, kikubwa ni kuniombea wasinikamate tu, ingawa situmii hiyo trick uliyosema ni nyingine kabisa mkuu

nashukuru lakini kwa kunipa angalizo niwe makini
 
Back
Top Bottom