Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Jamani wadau nauliza jinsi ya kufungua google play store account.
Naombeni ushauri wenu
Ahsanteni.
Naombeni ushauri wenu
Ahsanteni.
Nenda Vodashop yoyote, Tigoshop au Airtel shop watakusaidiaJamani wadau nauliza jinsi ya kufungua google play store account.
Naombeni ushauri wenu
Ahsanteni.
hahahaha....kwani play store a/c huwa kuna gharama au me ndo sijaelewa?Nenda Vodashop yoyote, Tigoshop au Airtel shop watakusaidia
Mtoa mada shida yake ni kufungua account basi, sehemu anayoweza kupata msaada bila usumbufu ni huko nilikomuelekeza!hahahaha....kwani play store a/c huwa kuna gharama au me ndo sijaelewa?
Asanteni, nilikuwa nataka kuweka Apps yangu hewani.Mtoa mada shida yake ni kufungua account basi, sehemu anayoweza kupata msaada bila usumbufu ni huko nilikomuelekeza!
Wamekwambiaje?habari nilizozipata kuwa ni Tsh 50000 tu unamiliki akaunti yako ndani ya saa 24
Nenda kaandikishe bank husika kwa kujaza fomu ili kadi yako iweze kufanya transaction mtandaoninimejaribu leo kadi yangu ya bank inazingua
shukran mkuu kesho subuhi naendaNenda kaandikishe bank husika kwa kujaza fomu ili kadi yako iweze kufanya transaction mtandaoni