Nataka kuagiza simu ya $ 300 online ( Amazon.com) , Wadau itatozwa kodi kiasi gani, na ni kodi zipi zinatozwa ukiagiza simu online? Thanks.
Seller wa Amazon kama ata Ship kwa Fedex au Posta na Individual piece sidhani kama utatozwa hela yoyote ila ukipitia Mikononi mwa DHL basi sheria za TRA unazijua lazima ulipe Import duty + VAT.Nataka kuagiza simu ya $ 300 online ( Amazon.com) , Wadau itatozwa kodi kiasi gani, na ni kodi zipi zinatozwa ukiagiza simu online? Thanks.
Fedex utawalipa bei gani mkuu?Seller wa Amazon kama ata Ship kwa Fedex au Posta na Individual piece sidhani kama utatozwa hela yoyote ila ukipitia Mikononi mwa DHL basi sheria za TRA unazijua lazima ulipe Import duty + VAT.
Waweza Tafuta asilimia zake kwenye web ya TRA au Online