mkuu konrad,ili uweze kusaidiwa tatizo lako,ni vyema ukawa unaweka maelezo ya kutosha ya hicho kifaa/tatizo lako.Naomba mnisaidie Nina mordem inatumia laini ya voda tu
Tumia Join Air Dashboard au Oxygen Mobile manager!Jamani baadhi ya vitu muhimu niweka hapo aombeni msaada wenu basi
mtafute humud www.zotekalitricks.comNaomba mnisaidie Nina mordem inatumia laini ya voda tu
sasa tukusaidiee nini? yani hiyo modem inamatatizo? unataka tuifanye nn?May I know please i am ignorant of it.