iPhone 5s - Not enough storage available

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
3,175
7,122
nikitaka kupiga picha inaleta message there is not enough available storage.nimefuta vtu vyote bado inagoma nmeenda kwenye setting ku erase all content and setting inassema passcode failed naomben msaada please
 
umefuta vitu vyote vipi?

una free storage kiasi gani?

nenda setting halafu general halafu storage kuangalia
 
umefuta vitu vyote vipi?

una free storage kiasi gani?

nenda setting halafu general halafu storage kuangalia

Free space ni 0 bytes nimefuta picha,music na application zote ambazo nilidownload zimebaki zilizokuja na cm tu bado inasoma 0bytes
 
Nimefuta picha,music na appliation nilizo downlod
Free space ni 0bytes
 
nikitaka kupiga picha inaleta message there is not enough available storage.nimefuta vtu vyote bado inagoma nmeenda kwenye setting ku erase all content and setting inassema passcode failed naomben msaada please
mazota
IPhone ukifuta picha zinaingia kwenye deleted folder na zinakaa humo kwa siku 30 in case ulifuta bahati mbaya uweze kurecover
Ku delete permanent ili upate free space nenda kwenye gallery utaliona hilo folder..select all then delete permanently
Pia kwenye Whatsapp disable saving ya media maana hizo simu za 16 GB hazikawii kujaa Whatsapp graphics
 
Yani nimefanya yote hayo kwenye deleted folder hakuna kitu nimefuta vyote
Whatsapp,jamii forum wala instagram havipo nimefuta lakin bado space ni 0 bytes
Lakin kuna jamaa kasema tu format kwa kutumia itune inaweza ikakubali
 
Back
Top Bottom