Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,371
- 4,848
Habari wakuu pole ni na majukumu .
Nimekuwa nikijuiliza kuhusu hili ila nimeshindwa kupata majibu hivyo naliwasilisha kwenu kupata ufafanuzi.
Kumekuwa na receiver mbalimbali ambazo zimekuwa zikijadiliwa humu jukwaani kwamba zina uwezo mkubwa hivyo mtumiaji aipatapo anakua na uwezo mkubwa tu kupata Chanel mbali mbali hasa hizi zinazoonyeaha ligi kuu ya uingereza .Na katika hilo nimekuwa nikijioea kila aliyenunua alishauriwa kutumia dish ya futi sita au zaidi. Je hakuna uwezo wa kutumia hizi dishi za kawaida I mean ndogo kama za ZUKU ,azam ,na dstv naomba mnifafanulie kuhusu hili kwani nauona muonekano wa dish za kizamani ni mbaya kwangu Mimi has a ukizingatia sie wenye NYUMBA za kupanga ni tabi kwani huchukua nafas kubwa