UNFORTUNATILY THE PROCESS ANDROID.PROCESS MEDIA HAS STOPED

Kilemachocho

JF-Expert Member
Feb 19, 2016
560
365
Habari zenu wana jamvi msg hiyo hapo juu imekuwa ikitokea mara kwa mara kwenye simu yangu naombeni ambaye anauwezo wa kunielekeza namna ya kuitoa anielekeze natanguliza shukrani.
 
Ni kawaida ya tecno hiyo, angalia program ambazo huzitumii uzifute halafu uzifanyie update zile unazotumia.
 
Back
Top Bottom