Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba msaada watu wangu nina hp laserjet 3025 printer haiwaki kabisa japo mwanzo ilikua inafanya kazi,yaani haiingizi moto nimejaribu kubadilisha power cable bdo haiwaki sijui shida inaweza kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kusahau password hasa kwenye computer/ laptop inakera. Hii inasababisha upotevu wa mafail muhim pale unapoamua kupiga window chini na kuanza upya, Ila kuna njia ambayo ni rahisi sana kureset...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari zenu wadau! NatumiaTecno,sasa leo nikarestore factory. Baada ya hapo sikuweza tena kudownload apps,nikiingia playstore nichague app ya kudownload inatokea message "error retrieving...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau wa Computer na vifaa vyake naomba msaada Flash disk zangu hazifunguki zinasema empty folder while ndani kuna saved file! Na nikiangalia properties disk iko na mzigo ila siwezi kufungua...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Ndugu jamaan a marafiki habari za humu, kuna library system inahitajika mahala so aliyenayo tuwasilianae.....platform yeyote as long as iko complete,ts business we can share coz we got the deal...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Thanks in Advance.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hivi replacement glass ya lumia 535 inapatikana? Kwa siyeelewa ni kile kioo kinachofunika kamera ya nyuma. Kimepata scatches sana hadi picha zimepoteza ubora sasa camera ya mbele ni bora kuliko ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Samsung grand duos haipeleki hilo file kwenye memory card inasababisha sim kujaa sana..... Nn cha kufanya ili zihame?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Just today, a free investigation found his girlfriend (boyfriend) mobile location site, the accuracy was 99%, mobile phone location accuracy range of 50 meters, even the streets can show amazing...
0 Reactions
3 Replies
45K Views
Wadau nimevutiwa sana na muundo wa JamiiForums kuanzia interface na functionality yake. Naomba kujuzwa imetengenezwaje kuanzia programming languages zilizotumika au ufahamu wowote juu ya ilivo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu naomba kuuliza ni Simu gani bora unaweza nunua sh 300,000 kati ya tecno c8 ama huawei p8 maana nataka inayo shika 4g na inatunza charge Mwenye kujua Jamani Msaada Simu yangu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ninataka kununua samsung galaxy note 4, Tatizo langu ni kwamba sina uzoefu nazo,ila nimewahi kusikia kuwa kuna codes ukiingiza itakuonesha kama ni original au ni clone,kwa mwenye utaalamu na...
1 Reactions
2 Replies
711 Views
Sometimes it happen you have many files you need to organize bt you cannot. I had 700+ files to organize into folders, something like: 1.Unajibu Maombi album.mp3 blah_blah2.pdf 2.Unajibu Maombi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu kuna jamaa yangu hapa anataka ku upgrade window 8.1 yake kwenda window 10 ila tatizo ni window 8.1 anayotumia haipo activated. Aki download window 10 inamwambia lazima aweze ku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefanya installation ya Window 8.1 Pro katika laptop yangu HP 630, HDD 500GB processor i3,Ram 4GB tatizo niki~install baadhi ya vitu vilivyopo mfano cambridge dictionary na baadhi ya magemu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ulisha wahi kukaa na kujiuliza kuwa ipo siku simu za Android zitaweza kuingia windows kama zilivyo simu za microsoft lumia au kama computer? sasa n kwambie tu kuwa swala hilo linawezekana kwa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Next Nexus smartphone LG V10 Samsung Galaxy S6 edge+ Samsung Galaxy Note 5 Motorola Moto X HTC One M9+ iPhone 6S iPhone 7 BLU Pure XL Huawei Ascend Mate 8 SONY Xperia Z4/Z3+ Blackberry...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari wakuu, natumia HP elite book 6930p, nimepata matatizo mawili, 1.program ya AVG haitaki Ku unstall. 2.pointer ya mouse kwenye touch pad haikubali double click Kama nataka kufungua faili au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF Natafuta site ambayo inaprovide free hosting kwan nataka kutest website yangu, pia hata mtu alie mbali namimi nataka aione kwanza alafu ndo ntafanya decision ya kununua hosting plan...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu .. pc yangu kwenye properties nimekiona hiki kitu Rating 5.0 window experience index maana yake nini?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom