Nataka kujifunza kuhusu muundo wa JamiiForums

6cent

Member
Dec 31, 2015
9
4
Wadau nimevutiwa sana na muundo wa JamiiForums kuanzia interface na functionality yake.

Naomba kujuzwa imetengenezwaje kuanzia programming languages zilizotumika au ufahamu wowote juu ya ilivo be developed.

Na je ni wenyewe JamiiForums wametengeneza au kuna company hutengeneza?

Natanguliza shukrani.
 
Nafikiri wametumia XenForo.com ambayo huwa imetengenezwa kwa lugha ya PHP, halafu ipo based on Zend Framework.
 
Nimepeta angalau mwanga thnxs ila bdo sijaelewa iyo XenForo inaifanya forum kuwa kwa web na pia mobile application au wanafanyaje..naomba kama wanaona hii post watusaidie piah
 
hizo ni layout 2 mkuu,, web app ina render layout tofaut ,kutokana na size ya browser.. Kupata layout ya mobile au tablate kwenye computer,,. Punguza saiz ya browser 2, utaona layout ina badilika
 
kama unataka kudevelop web app kama hii ya jamii forum.. Jifunze html-->css->javascript->php->sql .. Kisha cheki bootstrap..
 
Ushauri mzuri huo, ni vizuri kuwa na uelewa wa utaalam unaohusika, japo hatimaye itakua busara kutumia mfumo kama huu wa XenForo maana kila kitu kinakua tayari kipo.

Kutengeneza system kama hii ya JF kuanzia mwanzo bila kutumia mfumo uliotayarishwa, halafu utegemee itasimama na kutumika na maelfu ya watu, ni kazi na shughuli sana aisei. Mbaya zaidi ni mtu ambaye ataanza kwa kujifunza teknolojia zenyewe.

Mimi hapa programmer kwa miaka mingi sasa, lakini bado natumia mifumo kama ya Joomla kusimamisha systems.
 
Kuna haja ya kuchek system yenu. Nadhani ni vulnerable. Like an update or something. Kuna wakati inadisplay tags.
 
Natumai wamiliki wa JF wataona ushauri wako, mimi sio mmoja wao, nilimjibu tu mleta mada kutokana na uzoefu wangu wa systems.
 
hiyo ni kweli, ni vizuri kutumia framework.. Kutengeneza web app kama jamii forum.. Framework nyingi vitu kama authetication, layout management ,, backend na frontend vinakuwa teyari vimetengenezwa , ili kutumia hizo framework inabdi ajifunza hizo programming language kwanza
 
Ushauri mzuri huo, ni vizuri kuwa na uelewa wa utaalam unaohusika, japo hatimaye itakua busara kutumia mfumo kama huu wa XenForo maana kila kitu kinakua tayari kipo.

Kutengeneza system kama hii ya JF kuanzia mwanzo bila kutumia mfumo uliotayarishwa, halafu utegemee itasimama na kutumika na maelfu ya watu, ni kazi na shughuli sana aisei. Mbaya zaidi ni mtu ambaye ataanza kwa kujifunza teknolojia zenyewe.

Mimi hapa programmer kwa miaka mingi sasa, lakini bado natumia mifumo kama ya Joomla kusimamisha systems.
hiyo ni kweli, ni vizuri kutumia framework.. Kutengeneza web app kama jamii forum.. Framework nyingi vitu kama authetication, layout management ,, backend na frontend vinakuwa teyari vimetengenezwa , ili kutumia hizo framework inabdi ajifunze hizo programming language kwanza
 
Nahisi kizunguzungu na kichwa kwa mbaali big up wakuu natamani ningekua mmoja wa nyie
 
Kuna haja ya kuchek system yenu. Nadhani ni vulnerable. Like an update or something. Kuna wakati inadisplay tags.

hiyo ni kweli.. Alafu mpka ss bado hawatumii https.. Vitu kama username, password ,cookies za user mwingine ni lais kuvipata kwa njia ya man in the middle
 
be873cef002f77b773c16d6fa315db13.jpg
 
Back
Top Bottom