Habari wakuu.
Juzi Kati nilipeleka simu kwa fundi kubadili system charge na akabadili. Ila baada ya hapo simu imekua inapoteza Sana mawasiliano yaaani unakuta line haisomi kana kwamba hakuna...
Natumia window ubuntu ila computer yangu hai play video wala audio mwanzoni nilikua nikitumia window 7 hapakua na tatizo naomba mnisaidie kwa anaefaham tatizo.
Habari zenu wana JF,
Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc...
Kwenye masuala ya digital wenyewe wanadai taarifa zinakuwa katika mfumo Wa 0 na 1 tu.
Sasa wadau hii inakuwaje maana vyombo husika ni vya kielektroniki na taarifa zinasafirishwa kwa mfumo Wa...
Nchi nyingi wanasayansi wanahangaika ni namna gani wataweza kumwezesha mtu mwenye ulemavu
wa kuona aweze kutembea katika mazingira yenye vizuizi bila shida.
Nimejaribu kwa kiwango changu,na...
Habara wakuu
Mimi nahitaji kujifunza programming languages
Je nianze na language gan?
Na je naweza kujifunza online
Au km naweza pia kutumia pdf
Au ppt
Asanteni
Wapendwa wana jf nina computer yangu dell latitude inaleta rangi rangi kama mawingu kwenye monitor mpaka nashindwa kuendelea na kazi zangu kwenye computer yangu. Jamani msaada tafadhari wana janvi
Una sim na unawaza ufanyaje ili isipotee?/ ama ikipotea ipatikane?
Umepoteza sim na unawaza ufanyaje ili kuipata?
je umepata sim yako ambayo uliipoteza ila hujui uanze kufanya kipi
majibu yote...
Nilikua natumia kaspersky kwa window 7 gharama zikanishinda kwan inakaa kwa mwaka tuu ina expire nikahamia avast sasa hii ni nzuri kwani ni forever elf15 tuu wa enjoy milele 99yrs of expiration...
Wengi wanapata shida wanapotaka kununua sim mkononi kwa mtu kwa sababu za uaminifu na related concepts. Well leo nakuja na jibu/ solution ya hii.
Ukimaliza kusima hapa nakuhakikishia utakua expert...
Hii ni simple ila inaweza ikashangaza sana rafiki zako. Huitaji noledge ya IT kufanya haya Grab your laptop na fuatana na mimi katika hii short video. Mwisho wa siku naamini utakua na majibu...
Habari zenu humu jf naombeni msaada wa application ambayo huweza kunibadilishia maandishi kwenye icon yaani Screen icon menu kuwa na muonekano tofauti wa kimaandishi napendelea hasa ule mnyorongo...
wakuu habarini kwanza, nina shida kwenye simu yangu aina ya samsung galax hivi karibuni imeanza kuonesha kuwa imejaa huku kuna nafasi bado kubwa tu ya kutosha nikaamua kufuta kila kitu hadi...
je,wewe ni muhitaji wa account ya adsense alikini umekuwa kila ukifanya aaplication unakataliwa,tafadhali ninauza account ambazo zipo tayari unachukua na kauanza kupiga pesa.
pia tunauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.