Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
Habarini wakuu kuna jamaa yangu hapa anataka ku upgrade window 8.1 yake kwenda window 10 ila tatizo ni window 8.1 anayotumia haipo activated. Aki download window 10 inamwambia lazima aweze ku activate hii current window.maana hata hii window 8.1 nayo ali upgrade kutoka window 8 pro ambayo haikuwa officially
Hivyo tunatafuta window 8.1 Activator ili aweze ku upgrade kwenda window 10.
Cc chief Mkwawa na wengine..
Hivyo tunatafuta window 8.1 Activator ili aweze ku upgrade kwenda window 10.
Cc chief Mkwawa na wengine..