Nyamulekwetu
Member
- Feb 17, 2016
- 38
- 11
Naomba msaada watu wangu nina hp laserjet 3025 printer haiwaki kabisa japo mwanzo ilikua inafanya kazi,yaani haiingizi moto nimejaribu kubadilisha power cable bdo haiwaki sijui shida inaweza kuwa nin bandugu zangu,Asanteni sana.