Needed: Library System

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,303
2,715
Ndugu jamaan a marafiki habari za humu, kuna library system inahitajika mahala so aliyenayo tuwasilianae.....platform yeyote as long as iko complete,ts business we can share coz we got the deal sasa scratch design ita waste time
 
Unachotaka haujakiona? Kama haujakiona niambie nikufafanulie nipo tayari kwa msada zaidi. Na nikikwama nitakuelekeza pakuelekea usijali.
Aisee, kwa hiyo unataka kuniaminishakuwavlogu yako ina chochote kuhusu maktaba? Jibu ni hakuna, hakuna taarifa yeyote kuhusu maktaba. Na kama ilivyo kwa newbies kwenye blogosphere, hata huna hakika unataka uwe unapost kuhusu nini. Aliyeanzisha uzi anataka kupata "library management system".
 
Naomba nikusaidie kwakuwa nilikueleza kuwa nipo tayari kutoa msada.
Mtoa mada nilimuelewa kuwa anataka nini? Na kwa kufahamu hilo nikaweka attachment ambayo ni blog yangu. Na ndani ya hii blog huwa nafeed habari mbalimbali kutokana na shughuli zangu lkn habari nyingi napenda sana kuweka habari za maktaba(library). kama umetazama kwa makini kwenye popular post nilieleza kwa undani moja ya library management system (LMS) ambayo ni ABCD open source. kwenye hii open source nimeeleza vya kutosha na hata ukitazama kwenye olders post zipo habari nyingi zinazoelezea habari ya Library Management System mbalimbali ikiwemo KOHA.
Kwa ushauri kama unataka upate knowledge yangu vizuri kuhusu hii nyanja kuwa wazi kuwa unafahamu nini, na unataka ufahamu nini kuhusu library.Ninavyo vitu vingi kuhusu Library Management System (LMS) mkuu sibahatishi na sipo kwenye kudanganya.
 
thank you mr maana ndio tunajifunza kila siku kwa kupata info from other people like you...shukrani kiongozi
 
Back
Top Bottom