Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

My name is Joseph Masaga from Msg-Technologies. A business Company I have stated to deal with different aspects starting with IT (Information Technology) issues. Msg has designed tax estimators...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari. nina modem ya hsdpa, iko vizuri kwa kweli na ni multipurpose ila tatizo kila nikitaka kuongeza salio au huduma za vifurushi inaniambia confirm ussd feature, nawezaje kutatua hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nadhani neno computer virus si jambo geni kwako. na kama unatumia computer basi utakuwa tayari umeshakutana nao. kuna njia nyingi sana ambazo virus huthumia ili kuingia kwenye kifaa chako baadhi...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wadau,, simu yangu TECNO H6,, saiz inatabia ya kujiwasha data kwa SIM1,,, naomben msaada namna ya kesett isiwe inawaka Bila kuwasha mm mwenyew
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Bugatti unveiled their new hyper-car Chiron at the Geneva motor show. The car manufacturing company revealed that only 500 of these are set to be released. The car boasts an 8 liter, 16...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CHIEF MKWAWA na wengine wajuzi naomba kujua ubora wa simu zifuatazo Sumsang J5 na Sumsang J7 Asanteni
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba kujua photo editor ambazo ni za bure na ni nzuri kuinstall katika PC. NAWASILISHA
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea website za vyuo na taasisi mbalimbali za serikali za Tanzania. Bahati mbaya website hizi huwa zina mwonekano mbaya sana ukilinganisha na taasisi nyingine za nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ina muonekano mzuri kama screenshots nilizochukua katika lumia 535 yangu zinavyoonesha hapa chini. But still haina option ya kulock network.
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Najua kila siku unatafuta maisha hapa na pale. Kwa wanafunzi wanaochimba ujuzi wana hamu ya ujuzi, kwa wafanyabiashara wana hamu ya kuchuma fedha, kwa watumishi wa serikali wana hamu ya kuhudumia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu nyote, Poleni na majukumu, kuna mtu humu alipost kitu ili kuzuia usumbufu kwenye simu,alsema unaminya *002*007#.mimi nmejaribu na line imejilock mpaka sahiz nashndwa ku...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
DOWNLOAD GAMES LATEST FASTA HAPA KTK HIZI WEBSITES NA WINDOWS 10 PIA http://games.naturalbd.com:81/games/games/...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri kwenu wanabodi. Siku za hivi karibuni katika pita pita zangu mitandaoni nikaona hizi machines za kubadilisha/kusaga vitu vya plastic (mostly ni aya masalia ya plastic) kuwa mafuta ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
PC yangu inapata sana moto baada ya dakika 15 baada ya kuiwasha na feni yake bado inazunguka fresh tena kwa speed. Msaada
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ninaomba kujua kama destop computer ina Wifi? Na kama ipo iko sehemu? Mfano kwenye kwenye kompyuta mpakato huwa kuna alama ukibonyeza tu inawaka na kuendelea kutumia,lakin kwenye desktop computer...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ninaomba msaada kwenye labtop yangu aina dell,nikiplay musics haitoi saut ila mwanzo ilikua inatoa sauti vizuri tu,inatumia window 7.Shida ya pili ni kwamba ile coursor haitulii inakua...
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Simu yangu imekufa system charger na sitaki kuingia gharama za kuipeleka kwa fundi kwa kuwa mwezi ujao nataka ninunue simu nyingine so nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kobe za kuchajia betry...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekua nahangaika hadi muda huu naandika post nataka kununua Huawei Nexus 6P from EBay lakini cha ajabu sioni kampuni inayotoa Shipping ya simu hii kuja Tanzania nimekua napata shida sana. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa Kama Kuna application itakayoniwezesha kutafasiri lugha kutoka. Porguese to English Na kinyume chake pia hata Kama nitapata offfline dictionary. Itakuwa sasa Tu
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Back
Top Bottom