Nataka kununua Simu IPI ni bora.

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Heshima zenu wakuu naomba kuuliza ni Simu gani bora unaweza nunua sh 300,000 kati ya tecno c8 ama huawei p8 maana nataka inayo shika 4g na inatunza charge Mwenye kujua Jamani Msaada Simu yangu imekufa tecno boom j7 imekufa
 
8e967f43194fe5d13fb506addfe4bef5.jpg
 
Heshima zenu wakuu naomba kuuliza ni Simu gani bora unaweza nunua sh 300,000 kati ya tecno c8 ama huawei p8 maana nataka inayo shika 4g na inatunza charge Mwenye kujua Jamani Msaada Simu yangu imekufa tecno boom j7 imekufa
Nunua lg g2 ila ongeza kama 50
 
Heshima zenu wakuu naomba kuuliza ni Simu gani bora unaweza nunua sh 300,000 kati ya tecno c8 ama huawei p8 maana nataka inayo shika 4g na inatunza charge Mwenye kujua Jamani Msaada Simu yangu imekufa tecno boom j7 imekufa
P8
 
Yaani mimi kuanzia ninunue simu clone mpaka leo sina hamu natumia iphone na lumia tuu sizani nyingine ni ipi ya kuniwasha niambieni
 
Heshima zenu wakuu naomba kuuliza ni Simu gani bora unaweza nunua sh 300,000 kati ya tecno c8 ama huawei p8 maana nataka inayo shika 4g na inatunza charge Mwenye kujua Jamani Msaada Simu yangu imekufa tecno boom j7 imekufa
Tecno camon c8 haina 4G Hilo uliweke akilini mwako simu ya tecno bei ya chini inayosupport 4G ni tecno camon c5 mdogo Wake c8
 
Kuna rafiki yangu alinunua Sony laki 6na 50, akaitumia miezi 3 tu ikafa charging system wametafuta spear wamekosa hadi Saivi ameamua anunue voda fone
 
Back
Top Bottom