Msaada tafadhali..

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,320
6,686
Ninataka kununua samsung galaxy note 4,
Tatizo langu ni kwamba sina uzoefu nazo,ila nimewahi kusikia kuwa kuna codes ukiingiza itakuonesha kama ni original au ni clone,kwa mwenye utaalamu na uzoefu wa hii kitu naomba msaada,nini cha kufanya kabla ya kufanya malipo,maana kuuliza si ujinga..
 
Download app inaitwa cpu z kisha uta run mweny simu yako

Kisha uta compare specifications za cpu z na zile za online kama zikiendana basi ni original.

Clone mara nyingi utaishtukia kwenye soc pale utaona processor ni MTK/MEDIATEK ogopa sana.


Download cpu-z-1.18.apk from APK4Fun - APK4Fun
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom