Nisaidieni wataalam

Tysher

JF-Expert Member
Mar 26, 2013
207
76
Habari zenu wadau!
NatumiaTecno,sasa leo nikarestore factory. Baada ya hapo sikuweza tena kudownload apps,nikiingia playstore nichague app ya kudownload inatokea message "error retrieving information from server" na kwenye status bar inatokea message authentication error.
Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo.
 
Sina,natumia voda
nenda setting halafu more then nenda mobile network halafu chagua acess point name
apn-1.jpg

click add apn halafu connection name eka chochote na apn andika internet then save halafu activate hio apn kwa kuiekea dot kwa mbele
Cellular+One+Montana+APN+Settings+Android.JPG
 
chakufanya ingia settings then apps then angalia kama playstore na google play service ipo kama ipo clear data then restart kisha jaribu tena kudownload ikiwa kama playstore hukuiona ukishafika kwenye apps slide page kushota mpaka utakapoona all then tafuta playstore na google play service then clear data then restart simu kisha jaribu tena pia usipoiona google play service sio tatizo ww fanyia tu hiyo playstore peke yake
 
Ahsante mkuu,ngoja nijaribu
 
Shukran mkuu
 
Habari zenu wadau!
NatumiaTecno,sasa leo nikarestore factory. Baada ya hapo sikuweza tena kudownload apps,nikiingia playstore nichague app ya kudownload inatokea message "error retrieving information from server" na kwenye status bar inatokea message authentication error.
Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo.
Shida ni apn tu fanya kam ulivyoambiwa na mkwawa hapo juu
 
Andika vodacomweb halafu chini yake ndiyo andika internet halafu zima data uwashe tena mkuu pia nashauri lini iwe namba moja rejea na hali
itakayojitokeza plz
Nimejaribu mkuu lakini bado tu
 
chakufanya ingia settings then apps then angalia kama playstore na google play service ipo kama ipo clear data then restart kisha jaribu tena kudownload ikiwa kama playstore hukuiona ukishafika kwenye apps slide page kushota mpaka utakapoona all then tafuta playstore na google play service then clear data then restart simu kisha jaribu tena pia usipoiona google play service sio tatizo ww fanyia tu hiyo playstore peke yake
hii ndio solution kamili
 
nenda setting . more mobile and networks .access point names kasha edit access point
1.name Vodacom
2.APN internet kasha save hizo setting
 
Back
Top Bottom