Msaada kuhusu Flash Disk

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
1,081
312
Wadau wa Computer na vifaa vyake naomba msaada Flash disk zangu hazifunguki zinasema empty folder while ndani kuna saved file! Na nikiangalia properties disk iko na mzigo ila siwezi kufungua inasema iko empty!!
Naomba wataalamu mnisaidie kuna file muhimu inside! Thanks in Advance.
 
install software inaitwa usbfix halafu uifanyie maneuver flash yako na hiyo software
 
install software inaitwa usbfix halafu uifanyie maneuver flash yako na hiyo software
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako my all USB flash now ziko ok my documents all are secured thanks a lot! Hebu msaada mwingine wa ku flash Vodacom modem itumie all sim cards thanks in advance.
 
Back
Top Bottom