Msaada nashindwa kuunstall program ya AVG,

apologize

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
709
Reaction score
570
Habari wakuu, natumia HP elite book 6930p, nimepata matatizo mawili,
1.program ya AVG haitaki Ku unstall.
2.pointer ya mouse kwenye touch pad haikubali double click Kama nataka kufungua faili au program mpaka nibonyeze button zilizo kwenye mouse ya PC( has a ya kushoto) ndo inarespond, naombeni msaada katika setting ya hili na jinsi ya Ku unstall program ya AVG inayogoma
Natanguliza shukrani
 
Kama AVG imeambatana na utilities zake zingine haiwezi kutoka, hadi utoe kwanza hizo utilities. Angalia kama kuna moja ya hizi 1.) AVG tuneUp 2.) AVG web protection etc . Toa kwanza hizo ndipo utoe AVG
 
Back
Top Bottom