FREE HOSTING SITE

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,709
2,373
Habari wana JF
Natafuta site ambayo inaprovide free hosting kwan nataka kutest website yangu, pia hata mtu alie mbali namimi nataka aione kwanza alafu ndo ntafanya decision ya kununua hosting plan & domain name
Please naomba mnisaidie wakuu
 
ujawahi kudesign website nini! kama umeshamaliza kudesign kuna haja gani ya kutest wewe nunua tu PLAN unayotak then ifanyie marketing
 
ujawahi kudesign website nini! kama umeshamaliza kudesign kuna haja gani ya kutest wewe nunua tu PLAN unayotak then ifanyie marketing
Nime twngeneza website nyingi sana hadi muda huu zipo hewani, najua nnachokifanya wala sio ngeni wa hii tasnia,
Nataka mtu wa mbali aione kwanza alafu ghalama za hosting zitakua juu yake maana mimi kazi yangu ndo itakuwa imeishia pale.
Do you gat me...?
 
Unajishusha sana. Kama kweli wewe ni mzoefu na umedesign website nyingi nisingetegemea kuleta swali kama hili hapa!!

JUST create subdomain kutoka kwenye hizo domain nyingi ulizonazo. Hizo free hosting nyingi zina limitations zikiwemo kutoruhusu FTP clients na intensive database access
 
Back
Top Bottom