Which is gonna be your next smartphone?

Smokey D

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,631
2,086
  • Next Nexus smartphone
  • LG V10
  • Samsung Galaxy S6 edge+
  • Samsung Galaxy Note 5
  • Motorola Moto X
  • HTC One M9+
  • iPhone 6S
  • iPhone 7
  • BLU Pure XL
  • Huawei Ascend Mate 8
  • SONY Xperia Z4/Z3+
  • Blackberry Oslo
  • Oneplus 2
  • Asus ZenFone Selfie
  • Microsoft Lumia 950 XL
 
Yaani mtoamada unataka nirukevipi kutoka hapa tecno m3 hadi huko sijui nekisaz au galakisi ama aifoni ama sijui hechitiisii ,subiri kwanza nifikie kwenye huwei bwana
 
Yaani mtoamada unataka nirukevipi kutoka hapa tecno m3 hadi huko sijui nekisaz au galakisi ama aifoni ama sijui hechitiisii ,subiri kwanza nifikie kwenye huwei bwana
Chaguo ni lako na wallet yako inavyo soma..
 
2015 ulikuwa mwaka mbaya sana wa simu. mimi ningekua na hela nisingenunua hata moja hapo juu.

nasubiria simu ya snapdragon 820.
Sio lazima smartphone niliyo list hapo juu unaweza taja any smartphone planning to buy next..
 
The best smartphone for me is this one, just because i like to hop my ROM and Optioning, don't worry it's just depends on user preference.

phpt57cy6.png


N:B Iphone suck
 
The best smartphone for me is this one, just because i like to hop my ROM and Optioning, don't worry it's just depends on user preference.

phpt57cy6.png


N:B Iphone suck
OS-Android OS, v6.0 (Marshmallow)
Chipset-Qualcomm MSM8994 Snapdragon 810
CPU-Quad-core 1.55 GHz Cortex-A53 & Quad-core 2.0 GHz Cortex-A57
GPU -Adreno 430
MEMORY Card slot No
Internal 32/64/128 GB, 3 GB RAM
My best next smartphone....
 
Nimeshaanza kuchanga kabisa hii kitu lazima niwe nayo, nimechoka sijawahi kuwa na flagship device
d3590cf8da23a20a363b7410436ce366.jpg
 
Mwezi wa Pili huu sijapata ujio wa Nokia Chief-Mkwawa
zipo leaks za hapa na pale ila bado hakujakuwa clear nokia wanakuja na nini. so far ni hii camera ya Virtual Reality ambayo ni ya kwanza duniani

NOKIA OZO
Nokia-Ozo-Virtual-Reality-Camera-04.jpeg


camera hio inachukua nyuzi 360

ukiangalia microsoft hadi sasa hawana simu ya camera na nokia ametoa OZO hili linanipa imani still nokia ana tech zake na watatupa suprise muda si mrefu
 
Mwsho wa mwaka... Lumia kuanzia 650 na kuendeleaa itategemeaa walet yangu ina uzito ganii kipind hichoo....
Hata surface phone kama itatokaa....
 
Back
Top Bottom