Nahitaji file la wasap lijisev kwenye ext mmc

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,549
4,132
Ni Samsung grand duos haipeleki hilo file kwenye memory card inasababisha sim kujaa sana..... Nn cha kufanya ili zihame?
 
Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd
 
Kama aikupi option ya kumove app to add card basi utabidi kuroot simu na install app inaitwa link to sd
Nimeroot na wasp haihami apps nyingne zinahama poa tu.
Ngoja niijarb hiyo
 
Back
Top Bottom