Lumia 535 back camera Glass

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,096
2,286
Hivi replacement glass ya lumia 535 inapatikana? Kwa siyeelewa ni kile kioo kinachofunika kamera ya nyuma. Kimepata scatches sana hadi picha zimepoteza ubora sasa camera ya mbele ni bora kuliko ya nyuma.
 

Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesK2GEI4PV.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesK2GEI4PV.jpg
    7.5 KB · Views: 28
Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma.
 
Nina tatizo kama hilo. Nimeulizia kariakoo sijapata. Hii nadhani solution ni kubadili housing ya nyuma.

Nadhani suluhisho ni kuagiza kutoka nje. Sijui kama housing zinapatikana hapa bongo na sijui kama inakuja na hiyo glass
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom