mkuu kuna mahali nilipita nikakutana na watu wakibishana kuwa kama rating yako ni kubwa mfano 5 nakuendelea eti masine ina uwezo mkubwa kwenye processing ability hii inamaana many programm can run faster at once..ni benchmark ya windows ukiclick utaona score za vitu mbali mbali kama hard disk, cpu, graphics na ram.
yap ni kweli ila ni benchmark ya kizamani na haina maana kwa standard za siku hizi na kama inavyoitwa ni benchmark ya windows na sio CAD, wala GTA V wala Adobe Afater Effect. kwenye operating system mpya za microsoft kama windows 8.1 na 10 wameitoa haipo tena.mkuu kuna mahali nilipita nikakutana na watu wakibishana kuwa kama rating yako ni kubwa mfano 5 nakuendelea eti masine ina uwezo mkubwa kwenye processing ability hii inamaana many programm can run faster at once..
mkuu hii kitu ina ukweli
Kwa hiyo mkuu inamaana pc zinazoenda na wakat kwa sasa mfano zinazopiga mzigo wa GTA v zina benchmark kuanzia ngap hiviyap ni kweli ila ni benchmark ya kizamani na haina maana kwa standard za siku hizi na kama inavyoitwa ni benchmark ya windows na sio CAD, wala GTA V wala Adobe Afater Effect. kwenye operating system mpya za microsoft kama windows 8.1 na 10 wameitoa haipo tena.
hii benchmark haiusiani na gta v kama nilivyokuambia hapo juu, hivyo hakuna score maalumu. mtu anaweza kuwa na score ndogo sababu ya hdd kitu ambacho ni nadra kuathiri gaming perfomance.Kwa hiyo mkuu inamaana pc zinazoenda na wakat kwa sasa mfano zinazopiga mzigo wa GTA v zina benchmark kuanzia ngap hivi