tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea website za vyuo na taasisi mbalimbali za serikali za Tanzania.
Bahati mbaya website hizi huwa zina mwonekano mbaya sana ukilinganisha na taasisi nyingine za nje.
Ukianzia na chuo changu cha www.udsm.ac.tz hadi bodi ya mikopo www.heslb.go.tz
Hivi shida ni nini hasa? Kukosa graduate wenye ubunifu? Angalau www.mzumbe.ac.tz wamejaribu kidooogo.
Ni kama vile wachora ramani wa Tanzania, kila siku ramani ni zilezile, copy and paste.