The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
PC yangu inapata sana moto baada ya dakika 15 baada ya kuiwasha na feni yake bado inazunguka fresh tena kwa speed. Msaada
nikiwa nacheza gameInapata moto ukiwa unafanya shughul gan?
Hapo lazima ichemkenikiwa nacheza game
ni hp notebook zle znazotumia intel hd graphicsKumbe game mkuu
Pc yako ni aina gan
Game kuchemka lazma mkuu especially mashine yako yenyew yakawaida hyo..ni hp notebook zle znazotumia intel hd graphics
inajizima mkuuKupata moto ni kawaida, kama haijizimi basi sio tatizo.
Hakikisha hauzibi matundu ya hewa, kama unatumia kitandani weka kitu flat chini. Unaweza kununua cooling pad za laptop zinasaidia kidogo.
yangu n hp syo sony viaSoon inaweza ikazima moja kwa moja hilo tatizo lipo sana kwnye hiz sony viao